2019-06-29 App mpya ya Millard Ayo imeimarishwa muonekano na namna inavyokuletea taarifa kwa urahisi zaidi huku. Kwa sasa utaweza millardayo 2.0.5 Update
- kupokea ujumbe wa taarifa yaani "notification"
- kutazama AyoTV
- kutuma stori au habari kwa marafiki kupitia Whatsapp, SMS, Twitter na mitandao mingine.
- Kusoma habari kwa mpangilio mahususi.