2019-06-12 - Kupata Ujumbe(Notification) Pale nyimbo inapotoka Mpya.DJ Mwanga 1.1.4 Update
- Kuskiliza Zaidi ya RADIO 35+ Live(BURE).
- Uwezo wakutafta Nyimbo zote KwaUrahisi (Search).
- Uwezo waKupakuwa(Download) Nyimbo zote kwa Urahisi.
- Tumeboresha Mwonekano(Uwe rahisi zaidi kwa Mtumiaji)
- Fahamu Saivi utaweza kupata nyimbo zote mpya pia za zamani utaweza kuzitafta kupitia App ya DJMwanga.